Thursday, 8 June 2017

Wednesday, 7 June 2017

Tupatie majibu kwenye hiki unacho kiona hapa unapenda mini hasa


Peter msigwa anena mazito Leo story mzima hii hapa


Hatimaye Rinaldo atimiza ahadi take tazama wakati anaongea na hapa


Haya ndiyo mapenzi ya diamond na zari kwa sasa mpango mzima huu hapa



Breaking news ndege yapotea angani na abiria zaidi ya 100 tazama hapanmaajabu haya ya dunia


Harmonize amtaka wolper amrudishie vitu vyake vyote alivyo mpaa

Hawa in watu ambao walishaga wahi kua wapenzi sana ila sasa wanarudishiana vitu

Breaking news kamnda siro awasili kibiti halo yazidi kua hatari...hapa anazungumza na wananchi


Couple ambayo inatrendi sana kwenye mitandaobya kijamii asaivi niya zari na simba mambo yamekolea sasa story iko hapa kua wa kwanza kuipata



Monday, 5 June 2017

Hii ndio hotuba ya mbowe iliyo waliza wengi kwenyeazishi ya DR.ndesamburo mkoa wa Kilimanjaro..>>>>>>>>>>

Na kila wakati tulipokuwa tunapitia mazingira haya na muangalia Ndesamburo na uwezo wake najiuliza huyu mzee amekosa nini kwenye maisha yake unaangalia struggle anayoifanya Ndesamburo unawaangalia vijana wa Kitanzania wanacheza pool table, tunajiuliza kizazi chetu cha kesho kinafanya nini kuenzi kazi walizofanya wakina Ndesamburo wakina Mtei na wazee wengine wengi?
Lakini ni dhahiri kutokana na hofu za watu kwamba leo tumejenga taifa lenye hofu, watu wamekuwa waoga kwa sababu viongozi wamependa kuingiza hofu katika jamii.

Ndugu zangu waombolezaji wazungu wanamsemo unaosema "The guilty are afraid"  yani watu wenye hatia wana hofu.

Kwa hiyo kukosekana kwa uwakilishi wa serikli mahali hapa sio ajali ni hofu ya hatia, kwa heshima sana dada yangu Mbunge Mmasi pole na Ahsante kwa kufika Ahsante kwa ujasiri , Tunalia wote.

Nimeona vituko sana katika msiba wa Mzee wetu Ndesamburo alafu nikajiuliza mbona huyu Mzee ni mwema?
Labda niwaambie waombolezaji muelewe kwanza tuliamini kwa tukio hili la kihistoria ni vyema tukamsindikiza Mzee wetu kwa bendi ya polisi Brass Band ya polisi.

Je wajua kua mtoto wa christian Rinaldo ndie amewahi kushika kombe LA UEFA zaidi kuliko kocha wa arsenal???>>>>>>>>


Hii punde Rinaldo atwaaa tena man of the match


Usipitwe na hii ya zari kueleza kwanini kaburi LA Ivan kufufuliwa tena>>>>>>>>