Hongereni sana Ndugu zetu wa Soka kwa kuongezewa Uwanja wengine wa Kisasa... sie bado tunasubiria Maajabu ya Mwenyez Mungu, pengine labda Kampeni zikikaribia nasi tunaweza fikiriwa, ama walau kufarijiwa kwa Ahadi ya Uwanja hata mmoja wa Kisasa wa Kufanyia Maonyesho yetu kama wenzetu wa nje....Ili Msimu wa Mvua kama huu ukifika Biashara zetu zisidode.
No comments:
Post a Comment