NI VYEMA SERIKALI NA CCM IJIBU HOJA BADALA YA VIOJA.
MSIMAMO WANGU UPO WAZI KWAMBA TATIZO LA MADINI MKAPA&JK WAONDOLEWE KINGA WACHUNGUZWE KAMA KWELI RAIS AMEAMUA KUKABILI TATIZO, KWAKUWA NDIO MSINGI WA YOTE HAYA.
RAIS WA ZAMANI NIGERIA ABACHA ALIPOCHUNGUZWA ALIKUTWA KAHONGWA $3BN (ZAIDI YA TRILION7 ZA KITANZANIA). SIJUI HAWA WALIVUTA NGAPI KUHALALISHA MIKATABA HII YA UPORAJI.
KAMA KWELI CCM MNAUCHUNGU NA UPORAJI HUU MSHINIKIZENI RAIS TUONDOE KINGA WATU HAWA WACHUNGUZWE BADALA YA KUCHUNGUZA VIDAGAA!
No comments:
Post a Comment