Tuesday, 1 August 2017

THE VERY SAD STORY IN LIFE

#5: Akiwa kwenye mawazo mazito alishanga akipigwa kofi kali sana na #mamdogo wake kwa kuambiwa kuwa ameacha vyombo nje amekaa tuu bila ya kazi, wakati akiinuka alisindikizwa na mkofi mwingine wa hatari toka kwa #mamdogo wake uliompeleka chini moja kwa moja alianza kulia #bintichaupele pale chini kitu kilichomwongeza harisa #mamdogo wake na kuendelea kumbabua pale chini alivyomaliza alimbalamsha mpaka njeee. Kufika njee tuu #bintichaupele aliamaki baada ya kuona lundo la vyombo vichafu na kutojua vimechafuliwa mda gani, akuwa na namna ilimbidi akae chini na kuanza kuosha akiwa anaendelea mara akashuudia #mamdogo wake akija tena na sahani za kutosha na kumwekea pale chini na kumwambia
#mamdogo: Nakuambiaje hapa ndo dar kama ulikuwa ujui ndo tambua sasa osha vyombo chapuchapu na vitakate tuviombo twenyewe tudogo hutoo, pili nilikupa chumba kizuri cha kulala tena unasononeka nini wenzako wanalala njee waking'atwa na mbuuu sembuse wewe ebu fanya kazi upesiii ukapike kule na wole wako hata kitunguu kiungue utanikoma.
Alipomaliza hayo huyo akatokomea zake ndani na kumwacha #bintichaupele akiwa anachapa kazi isiyo na mshahara huku paka wake akiwa pembeni akilamba lamba masalia huku pembeni kukiwa na #wifi yake na #shemeji  yake #mamdogo wakiwa wanapiga story  huku wakimwangalia #bintichaupele akichakarika pale chini awakuwa na hata chembe ya huruma, basi #bintichaupele alipomaliza kufanya kazi hizo akaingia jikoni kuanda chakula kwa ajili ya jioni alipomaliza akamwambia mamdogo wake basi alipewa mapoti na kwenda kupakua na kuweka mezani kisha naye -------------------------(mtazamo wako kabla hatujaendelea mdau).
LIKE/COMMENT/SHARE

No comments: