Mfano katika ukurasa wa Mange kimambi ameandika “Uwiiiii mi naomba tuachane na ile voice note jamani! CCM wanatuchezea akili…Hata mimi mara ya kwanza niliamini kabisa audio ni ya kweli ndo maana nikashuka na yale magazeti bila hata ku-confirm na Wema ila baada ya kuongea na Wema na kuona Watu wanavyojua kumuigiza sauti yake naamini 100% audio imetengenezwa ile…. Na wanaomjua Mbowe vizuri wooote wamegoma ile voice ni yeye. Aliemuigiza Wema kampatia zaidi Wema kuliko aliemuigiza Mbowe

No comments:
Post a Comment