Monday, 5 June 2017

Aliye zikwa sio Ivan ni ALI SENNYOMO.AZIBITISHA ZARI

Picha lilianzia Airport ya Entebe ambapo baada ya mwili kuwasili, Death Certificate iliyokuwa imeambatana na mwili wa Marehemu ilikuwa imeandikwa jina la Ali Sennyomo na Sio Ivan Ssemwanga. Issue hiyo iliwaletea shida na hatujui kilichoendelea mpaka mwili ukatoka airport na kuwaaminisha watu kuwa ni Ivan Semwanga. Akiongea na Mtandao wa the Ugandan Zari alifunguka “It is true Semwanga has been frequently changing his identity in South Africa depending on the deals he was doing and he was until his death using the name Ali Sennyomo as his official identity.” “Even at Steve Biiko Hospital, the South African doctors were treating the patient Ali Sennyomo and even the body that checked into and out of Entebbe Airport last weekend was of Ali Sennyomo.” Hayo ni Maneno ya Zari akihojiwa na The Ugandan

Dada aliye igiza sauti ya wema huyu hapa amekamatwa na aeleza walio mtuma.....story nzima hii hapa

Mfano katika ukurasa wa Mange kimambi ameandika “Uwiiiii mi naomba tuachane na ile voice note jamani! CCM wanatuchezea akili…Hata mimi mara ya kwanza niliamini kabisa audio ni ya kweli ndo maana nikashuka na yale magazeti bila hata ku-confirm na Wema ila baada ya kuongea na Wema na kuona Watu wanavyojua kumuigiza sauti yake naamini 100% audio imetengenezwa ile…. Na wanaomjua Mbowe vizuri wooote wamegoma ile voice ni yeye. Aliemuigiza Wema kampatia zaidi Wema kuliko aliemuigiza Mbowe

Breaking news mbunge halima mdee na ester bulaya wameadhibiwa kukosa vikao vya bunge LA bajeti mpaka mwakani 2018ti

Halima Mdee na Esther Bulaya Wapigwa Marufuku Kuhudhuria Bunge Hadi mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19

Halima Mdee na Esther Bulaya wamehukumiwa kutohudhuria vikao vyote vya bunge linaloendelea mpaka mkutano ujao wa Bunge la Bajeti ya 2018/19.

Hukumu hiyo imeungwa mkono na wabunge wengi waliopitisha azimio hilo.

Mapema leo, Jumatatu Kamati ya Maadili ilisema Bulaya na Mdee wamemaliza adhabu za kawaida zilizopo kwenye kanuni za bunge.

Hata hivyo, Bunge liliendelea kujadili makosa ya wabunge hao wa Bunda na Kawe.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, George Mkuchika aliliomba Bunge kujadili adhabu inayostahili kulingana na makosa yao.


Baada ya IVAN Kufariki, Diamond Akiri Kuhofia Hali ya Wanae, Soma Hapa


Benki kuu Uganda yawataka wote walio husika kumwaga hela kwenye kaburi LA Ivan vyombo vya dollar viwachukulie sheria haraka kundi linalobjiita RICH GANG


Huyu bibi amenishangaza kwa maisha ya kiafrika ni ajabu sana kutumia laptop kikongwe huyu..hii hapa ni story nzima


Huko Nigeria patoranking ameonekana na akimpost sana dada huyu...hiii hapa ni maneno yake anasema anampenda dada huyu


Penzi la Diamond kwa Zari, Latiwa MCHANGA na Huyu Tajiri wa Uganda, INASEMEKANA wanadate na Zari