Staa wa soka wa kimataifa wa Brazilanayeichezea FC Barcelona ya HispaniaNeymar leo Ijumaa ya July 28 2017 ameingia kwenye headlines baada ya kugombana na mchezaji mwenzake Nelson Semedo wakiwa mazoezini.
Neymar katika video iliyonaswa mitandaoni imemuonesha akigombana na Nelson Semedoaliyejiunga na Barcelona kipindi hiki akitokea Benfica ya kwao Ureno, baada ya tukio hilo Neymar alisusia kufanya mazoezi na kuondoka zake.
No comments:
Post a Comment