Imagine ni wewe umeoa mke baada ya kumaliza Saba zile wewe ikaanza kwenda kazini na uku ukiwa unamuachia pesa ya kutosha tu kwake
Kwa vile mupo wawilii tu unamuachia 8000 sasa siku Ya kwanza baada ya kumuachia pesa jioni unarudi unakuta kakuandalia ugali na matembele na dagaa
Ujaulza siku Ya pili unamuachia pesa Kama ya Jana unarudi jioni unakuta kakuandalia ugali na kisamvu kisichoungwa siku Ya 3 pesa Kama ile umemwachia jioni unarudi unakuta ugali na mlenda na dagaa kidogo
Siku Ya 4 pesa Kama ile unamuachia jioni unaandaliwa wali na majan ya maboga
Wewe aujauliza chochote kile unakula tyu chakula chake
Ya 5 siku unampa pesa Kama ile jioni unarudi anakuandalia ugali na spinachi
Siku Ya 6 unamuachia pesa Kama ile jioni unaandaliwa ugali na maharage
Siku Ya Saba unampa pesa Kama ile utaenda kazini ila umetoka home unarudi jioni jioni unaandaliwa ugali na Miguu Ya kuku vichwa pamoja na utumbo
Apo unaanza kuniulza mke wangu kwani kuna tatzo au vipi?
Yeye anakujibu tatzo akuna kwani vipi?
Toka siku Ya kwanza ntakuachia pesa ya kula chakula unachonipikia sikielewi Kama nipo jela
Yeye anakujibu pesa aitoshi hii labda
Je nikweli kwa wadada 8000 aitoshi kwa matumizi Ya watu wawilii tu kwa chakula na mume Mchana Ali pale
Na je kwetu wanaume mwanamke Kama huyo utamchukulia hatua Ipi ukiangalia ndoa yako ata mwezi aijafikisha?
No comments:
Post a Comment